Polisi siku ya alhamisi walianzisha uchunguzi kuhusiana na mauaji ya afisa mmoja wa polisi aliyepigwa risasi kwenye mtaa wa Kayole jiji Nairobi. Afisa huyo kwa jina David Maya wa kitengo cha DCI,alikuwa na mkewe wakati wa mauaji...