Skip to content

Sauti ya Mwananchi Fm

Mchezaji wa Arsenal alazwa hospitalini baada kudungwa kisu na mwendawazimu

Sports/Michezo

Klabu ya soka ya Arsenal imemtakia afueni ya haraka beki wake Pablo Mari baada ya kushambuliwa jana Alhamisi jioni. Mari ambaye yuko kwa mkopo katika klabu ya Italia, A.C Monza alikuwa miongoni mwa watu sita ambao walishambuliwa kwa kisu na mwendawazimu mmoja kwenye jumba la maduka katika jiji la Milan jana jioni. Ripoti kutoka Italia […]

28/10/2022 / 0 Comments
read more

Man united wapigwa na mshangao…????

Sports/Michezo

Kiungo wa Uholanzi Frenkie de Jong amefichua kuwa hakutaka hata kidogo kujiunga na Manchester United katika dirisha la uhamisho lililopita licha ya mustakabali wake katika klabu ya Barcelona kutojulikana. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25 alionekana kuwa njiani kuondoka “Camp Nou” huku akidai Barcelona malimbikizi ya mshahara kwa kima cha yuro milioni 17. United […]

23/09/2022 / 0 Comments
read more

Imefichuka: Mbona Chelsea Haitampiga Kalamu Graham Potter Hata Akikosa Kufuzu Klabu Bingwa

Sports/Michezo

Klabu ya Chelsea haitampiga kalamu kocha Graham Potter hata akikosa kufuzu kwa michuano ya klabu bingwa barani Ulaya msimu ujao. Uongozi wa Chelsea hata hivyo unalenga kuganda na Potter kwa muda mrefu na hautamtimua asipomaliza ndani ya nne bora kwa kuwa wanalenga kumaliza utamaduni wa kuwapiga makocha kalamu kila mara. Kwa mujibu wa ripoti kutoka […]

14/09/2022 / 0 Comments
read more

Kocha mpya kutangazwa Chelsea

Sports/Michezo

Graham Potter anatarajiwa kutangazwa kuwa meneja mpya wa klabu ya Chelsea Ijumaa hii,baada kuifunza Brighton kwa miaka mitatu. Potter, aliye na umri wa miaka 47 wameafikiana na mmiliki wa klabu hiyo Todd Boehly saa chache baada ya kutimuliwa kwa Thomas Tuchel. Chelsea wanapania kumtangaza meneja mpya kabla ya mchuano wao wa Jumamosi dhidi ya Fulham. […]

09/09/2022 / 0 Comments
read more

Kakake Paul Pogba Aahidi Kumvua Nguo Hadharani Nyota wa Juventus

Sports/Michezo

Kaka mkubwa wa Paul Pogba, Mathias Pogba ametoa video akiahidi kufichua siri kubwa ya kushtua kumhusu mdogo wake. Mathias kupitia ukurasa wake wa Tik Tok alieleza kwamba ulimwengu unahitaji kumtambua kaka yake kwa njia tofauti. Pogba mara nyingi amekuwa akisifiwa kama mmoja wa viungo bora licha ya baadhi ya watu wakimkosoa kuwa ameshindwa kutimiza kiwango […]

29/08/2022 / 0 Comments
read more

Wikendi ya mwenye nguvu mpishe EPL ikipamba moto

Sports/Michezo

Liverpool walijinyanyua upesi na kubebesha limbukeni Bournemouth gunia la magoli 9-0 uwanjani Anfield. Arsenal wakaendeleza ubabe wao kwa kutandika Fulham 2-1 ugani Emirates na kusalia kileleni mwa jedwali kwa alama 12. Awali, Manchester United walikomesha rekodi duni ya kupoteza mechi saba mfululizo za EPL ugenini kwa kutandika Southampton 1-0 uwanjani St Mary’s. Ushindi huo ulikuwa […]

29/08/2022 / 0 Comments
read more

West Ham United wapepeta Aston Villa katika gozi la EPL

Sports/Michezo

WEST Ham United walishinda mechi yao ya kwanza msimu huu baada ya Pablo Fornals kuwafungia bao la pekee dhidi ya Aston Villa mnamo Agosti 28, 2022 uwanjani Villa Park. Bao lililofungwa na Villa katika kipindi cha kwanza halikuhesabiwa na refa baada ya kubainika kuwa mpira wa kona uliopigwa na Lucas Digne ulikuwa umetoka nje kabla […]

29/08/2022 / 0 Comments
read more

Droo ya Europa League: Arsenal na Man United Zapata Mteremko 

Sports/Michezo

Klabu ya Manchester United itachuana na Real Sociedad huku Arsenal ikimenyana na mabingwa wa zamani PSV Eindhoven katika hatua ya makundi ya kombe la Europa. Vijana wa Erik ten Hag pia watachuana na FC Sheriff na Omonia Nicosia katika kundi E, likionekana kuwa kundi rahisi kwa miamba hao wa Uingereza.  Arsenal pia wamepangwa pamoja na […]

27/08/2022 / 0 Comments
read more

‘Nilizaliwa Jamaica bila chochote – niangalie sasa’

Sports/Michezo

Muingereza Leon Edwards alimbwaga Kamaru Usman kwa hisia kali na kushinda taji la uzito wa welter kwenye UFC 278 huko Salt Lake City, Utah. Nyuma ya pointi katika nafasi ya tano, Edwards, 30, alipiga mkwaju wa juu wa kushoto na kumshangaza mpiganaji nambari moja wa Nigeria mwenye pauni kwa pauni. Edwards anakuwa bingwa wa kwanza […]

24/08/2022 / 0 Comments
read more

Kaunti ya Machakos kuandaa michezo ya kitaifa ya mpira

Sports/Michezo

Chuo cha Mafunzo ya Walimu cha Machakos kitakuwa chenye shughuli nyingi shule za msingi zitakapokutana kwa ajili ya michezo yao ya mpira. Michezo ya mpira ambayo itahusisha mpira wa miguu, voliboli, netiboli na mpira wa mikono itawakutanisha wanafunzi mnamo Septemba 6-9 kwa hatua hiyo inayorejea baada ya mapumziko ya miaka miwili kutokana na kukatika kwa […]

24/08/2022 / 0 Comments
read more

Australia yamteua Guus Hinddink kusaidia katika maandalizi ya Kombe la Dunia.

Sports/Michezo

Australia imemteua aliyekuwa kocha wa timu ya taifa hilo Guus Hiddink, kusaidia katika maandalizi ya Kombe la Dunia. Aidha mkufunzi huyo wa Uholanzi alialikwa kuhudhuria mechi yao ya mwisho nyumbani kujitayarisha kushiriki kwa fainali hizo. Mkufunzi huyo mwenye umri wa miaka 75, ambaye aliiwezesha Australia kupata nafasi ya kushiriki fainali za kombe la dunia kwa […]

23/08/2022 / 0 Comments
read more

Lewandowski Afungua Daftari Lake Barcelona kwa Madude Nyumbani kwa Real Sociedad

Sports/Michezo

Mshambuliaji matata Robert Lewandowski alifungia daftari lake la Barcelona kwa kufunga mabao mawili katika ushindi wao wa 4-1 dhidi ya Real Sociedad katika Ligi Kuu ya Uhispania mnamo Jumapili, Agosti 21. Lewandowski ambaye alikuwa anaadhimisha miaka 34 tangu kuzaliwa, aliipa Barcelona uongozi baada tu ya sekunde 50 kabla ya Alexander Isak kuwasawazishia wenyeji Real Sociedad. […]

23/08/2022 / 0 Comments
read more

Kocha wa AFC Leopards Kutua Nchini Baada ya Likizo Ndefu Iliyotia Mashabiki Wasiwasi

Sports/Michezo

Kocha mkuu wa AFC Leopards Patrick Aussems anatarajiwa kutua nchini Alhamisi tayari kwa msimu mpya wa mwaka 2022/2023, kulingana na katibu mkuu Gilbert Andugu. Kocha huyo anayeishi nchini Ufaransa na familia yake alitarajiwa kujiunga na kikosi cha Ingwe mnamo Agosti 12 lakini akaomba klabu kubadili siku yake ya kusafiri. Kulingana na Andugu, kuchelewa huko kulitokana […]

23/08/2022 / 0 Comments
read more

Man United Yaitafuna Liverpool Mbele ya Umati

Sports/Michezo

Klabu ya Manchester United ilisajili ushindi wa 2-1 dhidi ya mahasimu wa jadi Liverpool katika mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza maarufu kama EPL ugani Old Trafford mnamo Jumatatu, Agosti 22. Kocha wa Manchester United Erik Ten Hag alifanya maamuzi wa ujasiri akiwaacha kwenye benchi nahodha Harry Maguire na mshambuliaji nyota Cristiano Ronaldo katika mechi […]

23/08/2022 / 0 Comments
read more

Man Utd v Liverpool: kila kitu unachohitaji kujua kuhusu mechi ya leo

Sports/Michezo

Manchester United na Liverpool ni vilabu viwili vilivyofanikiwa zaidi nchini Uingereza baada ya kutawazwa mabingwa wa ligi mara 39 kati yao. Lakini wapinzani hao wakali watakapokutana kwenye Uwanja wa Old Trafford Jumatatu jioni, wote wawili watakuwa wakitafuta ushindi wa kwanza baada ya msimu huu kuanza vibaya. Liverpool bado hawajaongoza baada ya kutoka sare michezo miwili […]

22/08/2022 / 0 Comments
read more

Thomas Tuchel: Kocha wa Chelsea Ataja Sababu Zilizochangia Kufungwa na Leeds

Sports/Michezo

Kocha wa Chelsea Thomas Tuchel ametaja baadhi ya changamoto zilizokumba kikosi chake na kuchangia ushindi wa 3-0 kwa Leeds siku ya Jumapili, Agosti 21. Itakumbukwa kuwa Blues ndiyo waligharamika zaidi wakati wa dirisha la uhamisho wakichomoa kima cha pauni 170 milioni. Mahesabu ya mlinda lango Edouard Mendy yalishindwa kupangua hatari ya Brenden Aaronson na kumpa […]

22/08/2022 / 0 Comments
read more

Manchester City Yakabwa Koo na Newcastle United

Sports/Michezo

Mabingwa watetezi Manchester City waliambulia sare ya 3-3 nyumbani kwa Newcastle United katika mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza almaarufu EPL mnamo Jumapili, Agosti 21. The Citizens walizamika kutoka nyuma kwa mabao mawili ili kuandikisha sare hiyo baada ya kujikuta wakiwa nyuma 3-1 katika kipindi cha pili. City walikuwa wameshinda mechi 27 kati ya 28 […]

22/08/2022 / 0 Comments
read more

kane atambisha spurs ligi kuu 9(EPL)

Sports/Michezo

HARRY Kane alifunga bao lake la 250 ndani ya jezi za Tottenham Hotspur mnamo Jumamosi na kusaidia kikosi hicho kukomoa Wolves 1-0 katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL). Kane alicheka na nyavu za wageni wao katika dakika ya 64 baada ya kushirikiana vilivyo na sajili mpya wa Spurs, Ivan Perisic. Bao hilo la Kane lilifanya […]

22/08/2022 / 0 Comments
read more

tetesi ulaya

Sports/Michezo

Winga wa Ajax Mbrazil Antony, 22, anashinikiza kujiunga na Manchester United kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili msimu huu. Hata hivyo, United wanasalia katika kumwinda winga wa PSV Eindhoven Mholanzi Cody Gakpo, 23 lakini wana uwezekano wa kusajili mmoja wa washambuliaji kabla ya dirisha la usajili kufungwa. United pia wanajiandaa kushinikiza kwa mara ya […]

22/08/2022 / 0 Comments
read more

Akida kuongoza mashambulizi ya PAOK dhidi ya Rangers Klabu Bingwa Ulaya wanawake

Sports/Michezo

MKENYA Esse Akida ataongoza AC PAOK dhidi ya Rangers katika fainali ya shindano la pili la raundi ya kwanza la Klabu Bingwa Ulaya ya wanawake mjini Thessaloniki, Ugiriki mnamo Agosti 21 saa kumi na nusu jioni. Wenyeji PAOK walipiga Swansea kutoka Wales 2-0 kupitia mabao ya Eva Vlassopoulos katika nusu-fainali nao Rangers kutoka Scotland wakalemea […]

21/08/2022 / 0 Comments
read more

Posts navigation

1 2 3 Next
Royal Elementor Kit Theme by WP Royal.