Music/Miziki

Jumba Maridadi la Stephen Letoo Lililogharimu Shilingi milioni 8 Lawaduwaza Wakenya

Stephen Let'oo ajiunga na BIG BOYS
Written by admin

Mwanahabari wa runinga ya Citizen amejiunga na klabu kubwa ya the big boys baada ya kuanika jumba lake jipya lililojengwa kijijini humo.

Mwanahabari huyo wa masuala ya kisiasa alipakia picha ya jumba lake la kifahari huko Kilgoris, Kaunti ya Narok, na kuwaacha mashabiki midomo wazi.

About the author

admin

Leave a Comment