repliche orologi replica uhren

Dieses Sicherheitssystem ist notwendig, um zu verhindern, dass der rolex replica Taucher vom Messgerät getäuscht wird und länger eingetaucht bleibt, als ihm seine Sauerstoffflasche eigentlich erlaubt.

Music/Miziki

Rapa Vera Sidika afichua jinsi mumewe Brown Mauzo alivyopiga jeki azma yake ya muziki

Written by admin

Mwanasoshalaiti Vera Sidika alikuwa mgeni wetu katika kipindi cha Bustani la Massawe, kitengo cha Ilikuaje? mnamo siku ya Ijumaa.

Katika mahojiano na Massawe Japanni, rapa huyo mpya zaidi mjini alifunguka kuhusu wimbo wake mpya ‘Popstar.’ 

Mama huyo wa binti mmoja wa mwaka moja alifichua kuwa yeye na mumewe Brown Mauzo wanamiliki studio nyumbani.

“Tuko na studio nyumbani ili tuweze kufanya kazi kwa siri. Mume wangu anarekodi nyimbo zake nyumbani,” alisema.

Mwanasoshalaiti huyo mwenye umri wa miaka 33 alibainisha kuwa studio hiyo ni ya matumizi yao pekee yao wala si ya kibiashara. Alisema kwa kawaida huwa wanatafuta watayarishaji muziki ili wawasaidie kutengeneza muziki nyumbani

Vera alifichua kuwa mumewe alihusika sana katika wimbo wake mpya ambao aliachia siku chache zilizopita.

“Aliniunganisha na maproducer bora zaidi. Pia alikuwa kwenye video (nyuma ya pazia,” alisema.

Rapa huyo aliweka wazi kuwa Mauzo ni shabiki wake mkubwa sana

“Yeye ni shabiki wangu nambari moja. Pia alinisaidia katika kiki,” alisema.

Aliongeza, “Nashukuru mume wangu kwa kuwa amekuwa akinisaidia katika safari ya muziki.”

Vera alifichua kuwa mchakato wa kurekodi wimbo wake ‘Popstar’ ulichukua kipindi cha wiki moja tu.

“Nilirekodi muziki kwa siku mbili, Nilifanya kila kitu kwa wiki moja” alisema.

About the author

admin

Leave a Comment

nude pics of weman wrestler with a boner xxnx.vip latina on black porn videos pornos en familia, mom a d son porn how to download from pornhub xxxpor.win axel kane gay porn my hero academia porn comic, my hero academia porn kimberly delgado only fans wifeporn.win backroom casting couch jena sausage party sex scene