Msanii maarufu kutoka Tanzania (Zuhura Othman Sou) Zuchu, kupitia kwenye mahojiano na vyombo vya habari amesema kwamba hana shida kulipa bilioni moja iwapo anataka kugura lebo ya WCB inayomilikiwa na staa wa bongo Diamond Platnumz.
Hii ni baada ya staa wa bongo Diamond kusema kwamba angelipa bilioni iwapo msanii huyo angetaka kutoka kwenye lebo yake.
Leave a Comment