News

Ajali Yaua Ndundori

Written by admin

Idadi ya watu isio julikana wanahofiwa kuaga dunia huku na wengine wakipata majeraha mabaya baada ya kuhusika kwenye ajali katika eneo la Dundori mpakani mwa kaunti ya Nakuru na Nyandarua.

Kulingana na Jimmy Wagakabu jamaa aliyeshuhudia ajali hiyo lori iliyokuwa imetoka upande wa kwa- kiongo ilipoteza mwelekeo na kugonjwa magari takriban 10 yaliyokuwa yameegeshwa barabarani.Kwingineko mwezi huu

Watu saba waliangamia na wengine 14 kujeruhiwa vibaya baada ya kuhusika kwenye ajali katika eneo la Kaburengu kaunti ndogo ya Webuye .

Kulingana na walioshuhudia ajali hiyo lori lilipoteza mwelekeo na kuwagongwa wafanyibiashara wa Nyanya, Mboga na mahindi mabichi kwenye kituo hicho cha kibiashara majira ya saa tisa….

About the author

admin

Leave a Comment