News/Habari

EMBU: Kitanzi cha Kheri

Written by admin

Hofu
imetanda katika kijiji cha Kithiruri, eneo la Kianjokoma, kaunti ya Embu baada
ya jamaa mmoja kujitoa uhai na kuacha nambari yake ya siri ya Mpesa na kueleza
jinsi ya kufungua simu yake.

Mwili wa Lawrence Munene 24, ulipatikana na dadake mdogo aliyekwenda kumgongea mlango mida ya saa tatu  ili aamke ila hakufunguliwa wala kupata jibu suala lililompelekea kumuarifu baba yake ambaye alivunja mlango wa chumba na kupata mwili wa mwana wake ukiwa umening’inia kando ya kitanda chake.

Munene alikuwa ameandika ujumbe akiaga familia yake na kuomba msamaha kutoka kwa yeyote ambaye aliwahi kukosea. Aliagiza kwamba mbuzi wake wakabidhiwe mtoto wa dada yake. Welcome to BonusCodeSecu – no deposit bonus codes, exclusive bonuses and instant cash bonuses. presios de buffed en el red rock casino

Mwili
wa marehemu unahifadhiwa katika mochari ya Gakweroni.

About the author

admin

Leave a Comment