News/Habari

KENYA: Kutimia kwa ndoto ya Uzeeni

Written by admin

Mzee Patrick Mangoli kutoka kijiji cha Namanje eneo bunge la Bumula ambaye ana umri wa miaka ya 54 aliyekalia mtihani wake wa kitaifa wa kidato cha nne mwaka jana sasa amepata nafasi ya kujiunga na chuo kikuu cha Masinde Muliro bewa la Bungoma.

Akizungumza hii leo baada ya kupokea barua ya mwaliko wa kujiunga na chuo hicho ili kusomea sanaa na mziki mzee Mangoli ameomba wahisani kuingilia kati ili kumsaidia akamilishe karo anayodaiwa na shule ya upili ya mtakatifu  Patrics Netima ili aweze kujiunga na chuo kikuu. At present, NJ online casinos offer http://vozhispananews.com/joe-pesci-casino-asi-funciono-yo-subtitulos/ one of two types of first deposit bonuses: a match bonus , or a cash refund.

Alisema masomo yake yalikua yakitatizwa mara kwa mara kwa ajili ya ukosefu wa karo. Each of these offers come with a promo code players use to activate https://starlitenewsng.com/cuanto-dinero-ganas-en-el-golpe-al-casino-gta-v/ the offer.

About the author

admin

Leave a Comment