News/Habari

Kesi ya Mkasa wa Bwawa la Solai yakwama

Kesi dhidi ya washukiwa wa mkasa uliotokea mwaka uliopita kule Solai bwawa lilipovuja imekwama
Written by admin

Kesi dhidi ya washukiwa wa bwawa la Solai imekosa kuanza kwa mara
nyingine tena huku upande wa kiongozi wa mashtaka ukikosa kufika.

Miaka miwili tangu kuanza kwa kesi hiyo, hakimu mkuu wa Naivasha Kennedy
Bidali amelazimika kuahirisha kesi hiyo licha ya tetesi kutoka kwa mawakili wa
washukiwa hao waliotaka kesi hiyo kutupiliwa mbali kutokana na uzoefu wa upande
wa mashtaka kutohudhuria vikao hivyo.

Kwenye kesi hiyo mmiliki wa bwawa hilo Perry Mansukhur na wengine wanane
wakiwemo maafisa wa serikali wanakabiliwa na mashtaka ya kusababisha vifo vya
Zaidi ya watu 48 wakati bwawa hilo lilivunja kingo zake.

Wengine ni  Vinoj Jaya Kumar, Johnson Njuguna, Luka Kipyegen, Winnie Muthoni, Jacinta Were, Tomkin Odo Odhiambo, Williec Omondi na Lynette Cheruiyot.Hata hivyo hakimu huyo amesema atatoa uamuzi wake iwapo kesi hiyo itaendelea au la hapo kesho kufuatia tetesi hizo za mawakili wa washukiwa. Full of new settlements https://kellyrobbins.net/is-del-lago-casino-indian-owned/ populated mostly by men, anti-gambling attitudes were not strong in the American West.

About the author

admin

Leave a Comment