Huduma ya Polisi nchini (NPS) imesisitiza kuwa baa zitaendelea kufungwa mapema licha ya hatua ya rais Uhuru Kenyatta kufutilia mbali amri ya kutotoka nje majira ya usiku.
NPS ilitoa ujumbe huo baada ya hotuba ya rais wakati wa maadhimisho ya Mashujaa Day na kueleza kwamba baa zote nchini zitaendelea kufungwa kabla ya saa moja jioni kama ilivyokuwa wakati wa kafyu.
Hatua za kisheria zitaendelea kuchukuliwa dhidi ya wahudumu wa baa ambao watakiuka amri ya kufunga kabla ya saa moja usiku. Ainsi, les petits tracas de sante habituels pourront https://asgg.fr/ etre rapidement traites.
Rais Kenyataa aliondoa amri ya kutotoka nje usiku wakati wa hafla ya kuadhimisha siku ya Mashujaa ambayo ilifanyika katika uwanja wa Wang’uru kaunti ya Kirinyaga jana Jumatano.
Leave a Comment