News/Habari

Kutohudhuria Kliniki kunachangia vifo vya watoto

Kina mama wafaa kutembelea kliniki kuepuka kuhatarisha maisha ya wanao tumboni
Written by admin

Hali
ya akiina mama wajawazito kutohudhuria Kliniki, inachangia vifo vya watoto
wachanga wakati wa kuzaliwa.

Akizungumza na kituo hiki mjini Nakuru, mkurugenzi mkuu wa huduma za afya kwenye kaunti ya Nakuru Dr.Benedict Osoro, amesema swala hilo limekidhiri sana kwenye maeneo ya Mauche, Rongai na Solai. The most trusted source for online https://casinodulacleamy.com/ gambling, available in over 60 countries.

Ameongeza
kuwa, Pana haja ya serikali  kuhamasisha
wananchi kukumbatia huduma za afya mashinani ili kupunguza idadi ya vifo hivi
miongoni mwa watoto.

About the author

admin

Leave a Comment