Wahudumu
wa magari pamoja na pikipiki ambao huacha magari yao na pikipiki kuzeekea
katika vituo vya polisi wamehamaSishwa kwamba huenda wakapoteza haki ya umiliki
wa magari pamoja na pikipiki zao.
Kamanda wa
trafiki katika eneo la Molo Moses Nderitu amesema serikali ina jukumu la kuuza
vitu ambayo wenyewe wamefeli kufika katika vituo vya polisi licha ya magari
ama pikipiki kukamatwa na kusalia vituoni hadi kwa muda wa mwaka mmoja.
Amewataka wanabodaboda kufuatilia kesi zinazohusisha pikipiki badala ya kusababisha ajali na kisha kutoweka kabisa na kuacha pikipiki kuzeekea kituo cha polisi. This is common for https://nikel.co.id/reparto-casino-deportivo-la-habana-cuba-mapa/ no purchase chips like this.
‘Kuna mpangilio ambao hufuatiliwa,iwapo utakaa kwa muda wa mwaka mmoja bila kuja kuchukua gari ama piki piki yako basi kwa mujibu wa sheria serikali ina uhuru wa kuuza. Bettors are https://starlitenewsng.com/how-to-play-split-bet-poker/ then rewarded with a free bet that matches their deposit amount. ’Amesema Moses Ndiritu
Leave a Comment