Waziri wa Elimu George Magoha, ametoa onyo kwa walimu wakuu dhidi ya kufukuza wanafunzi ambao hawajalipa karo.
Magoha amefichua kuwa wizara yake kwa ushirikiano na hazina kuu tayari imetoa pesa kwa shule kabla ya kufunguliwa kwa kwa muhula wa tatu mnamo tarehe 4 mwezi Januari 2022. OnlineCasino offers online sports betting using a range of online sportsbooks allowing you to bet clickmiamibeach.com on Soccer, Basketball, Football, Horse Racing, Golf, NRL, and NHL.
Magoha alisisitiza kwamba hakuna mwalimu ambaye ana haki ya kumnyima mwanafunzi masomo kwa kukosa kulipa karo ya shule
Akizungumza mjini Mombasa, waziri huyo ameeleza kwamba wamekubaliana na walimu wakuu wakubali kidogo ambacho wazazi watapeleka shuleni kulingana na uwezo wao.
Leave a Comment