Washukiwa
watano wa mauaji ya wakili Willie Kimani,mteja wake na dereva wa teksi wana mashtaka ya kujibu.
Kwa mujibu wa Jaji Jessie Lessit watano hao, polisi wanne na mdokezi mmoja wa polisi wana kesi ya kujibu baada ya mahakama kupitia ushahidi ambao ulitolewa na upande wa mashtaka. Safe and https://nikel.co.id/albert-tocco-las-alamedas-casino-boat-cocaine/ secure banking methods:.
Hayo yalijiri baada ya mahakama kuwataka watano hao kujitetea mara baada ya upande wa mashtaka kufunga kesi yao siku ya Ijumaa na mashahidi 46. Casino games https://casillascontracting.us/miami-club-casino-no-deposit-bonus/ are also available in online casinos, where permitted by law.
Tano
hao ni pamoja na Fredrick Leliman, Stephen Cheburet, Sylvia Wanjiku, Leonard
Mwangi na Peter Ngugi.
Kesi
hiyo imechukua miaka mitano tayari.
Leave a Comment