Wanandoa wawili kutoka kaunti ya Meru wamehukumiwa kifungo cha maisha gerezani na mahakama moja ya mjini Meru, baada ya kupatikana na hatia ya ulanguzi wa mihadarati aina ya bangi.
James Muthiora ambaye ni maarufu kama Kaliante na mke wake Fridah Karimi, wamehukumiwa kifungo hicho na hakimu mkuu mwandamizi wa Meru, Thomas Muraguri Mwangi, baada ya miaka mitatu ya kesi.
Washukiwa
hao walikamatwa mwezi Novemba mwaka 2018 pamoja na wenzao watatu walioachiliwa
huru kutokana na ukosefu wa ushahidi wa kutosha.
Wakati wakikamatwa, wawili hao walipatikana na kosa la kusambaza na kuuza kilo 103 za bangi zenye thamani ya shilingi milioni 3. We provide a full range of games including progressive slots and slot https://clickmiamibeach.com/ machines. 09.
Wakili
wao Kiogora Mugambi ameelezea kutoridhika kwake na hukumu hiyo.
Leave a Comment