Wakala wa mshambuliaji wa Juventus Cristiano Ronaldo’, Jorge Mendes ameipatia Manchester City ofa ya kumsajili nyota huyo wa Portugal mwenye umri wa miaka 36.
Arsenal imeanzisha tena mazungumzo na Sheffield United juu ya makubaliano ya mlinda lango, wa England Aaron Ramsdale, baada ya Blades kusemekana kwamba wamepunguza dau lao kutoka £35m hadi £24m.
Na,
Paris St-Germain haijaondoa uwezekano wa uhamisho wa dakika za mwisho wa viungo wa kati raia wa Ufaransa Paul Pogba, 28, kutoka Manchester United na Eduardo Camavinga,10 kutoka Rennes.
Leave a Comment