News/Habari

NAKURU: Siasa za mwakani

Kushoto: Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta Kulia: Aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya, Raila Odinga
Written by admin

Kiongozi wa ODM Raila Odinga ameongoza mkutano hapa Nakuru ambao umehudhuriwa na katibu mkuu wa Jubilee Raphael Tuju, mbunge wa Suna Mashariki Junet Mohamed, mwenyekiti wa ODM Edwin Sifuna, mbunge mteule Maina Kamanda, mbunge wa Kieni Kanini kega na pia naibu mwenyekiti wa Jubilee David Murathe.

Hayo yalijiri wakati ambao pia mkutano mwingine wa One Kenya alliance ukiendelea mjini Naivasha papa hapa Nakuru, ambapo Musalia Mudavadi, Kalonzo Musyoka, Gideon Moi na Moses Masika Wetangula walikutana kujadili mustakabali wa muungano huo.

Raila na wenzake walikutana hapa mjini Nakuru, ambapo pia aliyekuwa mbunge wa Gatanga Peter Keneth alihudhuria.

Jubilee na ODM zinatarajiwa kutoa taarifa baadaye baada ya
mkutano huo. 

About the author

admin

Leave a Comment