Gavana
wa kaunti ya nakuru Lee Kinyanjui, amezitaka idara za usalama kuanzisha
oparesheni kwenye wadi ya Kabatini Bahati, ili kuwanasa wapishi wa pombe
haramu.
Gavana Kinyanjui ametaja kuwa, kwenye ziara yake katika eneo hili ameshuhudia wazee pamoja na vijana wakiwa walevi, Licha ya watu 5 kufariki kutokana na pombe haramu hapo jana. These features are casinodulacleamy.com also great for players who enjoy retro games.
Ametoa
onyo kali kwa maafisa wa serikali ambao wamekuwa wakishirikiana na wapishi wa
pombe haramu, na hata kuiuza pombe hii wao wenyewe
Leave a Comment