News/Habari

Nakuru :Ugonjwa wa Kwato na Midomo wazidi kuangamiza

Written by admin

Baadhi
ya wafugaji kutoka maeneo ya Olrongai na Barina eneo bunge la Rongai
wanakadiria hasara baada ya mifugo wao haswa ng’ombe kuadhirika na ugonjwa wa
Foot and Mouth.

 Hii ni baada wakulima kwenye eneo bunge la
Bahati kuilaumu wizara ya mifugo kwenye kaunti ya Nakuru, kwa kukana madai
kwamba hakuna mifugo ambao wamefariki kutokana na ugonjwa unaoadhiri  kwato na midomo maarufu kama Foot And Mouth
katika eneo hilo.

“Tegemeo
letu ni mifugo hapa katika kaunti ya Nakuru,serikali ya Kaunnti na madaktari
walikosa uadilifu ili kuzuia kupoteza  
mifugo wetu.” John Kibe alisema

Mkulima
Paul Waweru ambaye pia aliadhirika na 
hali hiyo, alisema kuwa ni muhimu serikali ya kaunti iweze kuleta
madaktari wa mifugo kutoka kaunti zingine iwapo hamna madktari wa kutosha
kwenye kaunti.

“Tulipokua tukiuliza kwa nini  Ngombe wamekufa Mbunge wa Bahati ambaye pia ngombe wake wamekufa amesema kuwa serikali ya Kaunti ingefaa kutoa suluhu kabla ya maafa haya. There has been known an exhaust gas recirculation system (hereinafter simply referred to as EGR system) for reducing NOx in exhaust gases by mixing a part of exhaust gases with a fresh air to the intake side of an internal combustion https://clickmiamibeach.com/ engine and thus purging it into the atmosphere. ”Paul Waweru alisema.

Warukira Mwangi

Miriam Itotia

About the author

admin

Leave a Comment