Wazima
moto wa kaunti ya Nakuru wamelaumiwa kwa kutofika kuzima moto ulioteketeza
nyumba moja kwenye eneo la pole pole wadi ya Waseges kaunti ndogo ya Subukia
hapa Nakuru usiku wa kuamkia leo.
Pricilla Wanjiru mmiliki wa nyumba hiyo alisema licha ya kupiga simu mara kadhaa, gari la kuzima moto kutoka Nakuru halikufika kuwapa usaidizi.
Mama huyo aliokoa watoto wake wanne pekee ila hakunusuru kitu kingine chochote. Kwa sasa ametoa wito kwa serikali pamoja na wasamaria wema kumpaa msaada ili aweze kuwalea watoto wake. When you spin, you’ll be provided a brief description of the game, video instructions if available, and a link to a help document that explains game https://clickmiamibeach.com/ controls.
Leave a Comment