News/Habari

NYANDARUA: HAMNA CHA VIKAO WAWAKILISHI WADI WAKALE BATA!!!

Bunge la kaunti ya Nyandarua katika vikao vya awali/facebook.com
Written by admin

Licha ya bunge la Nyandarua kutokuwa na vikao kwa zaidi ya miezi sita vikao vya bunge hilo vimeahirishwa hadi mwezi wa pili mwakani ili kuwapa wawakilishi wadi nafasi ya kusherehekea msimu wa Krismasi.

Mwakilishi Wadi wa Gatimu Kieru Wambui amesema kuwa baadhi ya shughuli ambazo zimeathirika zaidi kutokana na  bunge hilo kufungwa  kwa kipindi hicho ni ukaguzi wa matumizi ya fedha za umma kwenye maendeleo yaani Oversight

About the author

admin

Leave a Comment