News/Habari

NYANDARUA: KASI YA KOBE KWENYE USAJILI!!!

Written by admin

Baada ya idadi ndogo ya vijana katika kaunti ya Nyandarua kujitokeza kusajiliwa Kama wapiga kura, Tume ya IEBC imeandaa kikao na washikadau mbalimbali katika kaunti hiyo ili kujadili ni vipi idadi hiyo itaongezeka.

Tume hiyo ya IEBC iliandaa mkutano na gavana wa kaunti hiyo Fransis Kimemia, viongozi wa kidini pamoja na maafisa wa usalama ili kubuni mbinu ya kuwahamasisha vijana kusajiliwa ambao baadhi yao wanakumbwa na changamoto ya ukosefu wa vitambulisho huku wengine wakisosa ari ya kushiriki uchaguzi. However, when it comes to their online presence, it has https://nikel.co.id/around-the-world-casinos-palm-desert-ca/ gone a little bit unnoticed, thanks to the big names like Netent and Microgaming just about ruling over the roost.

Kufikia Sasa kaunti ya Nyandarua imesajili wapiga Kura 6,298 pekee dhidi ya laki moja na elfu tisa inayolengwa. Baccarat Enter https://kellyrobbins.net/harrahs-cherokee-casino-sports-book/ any casino, and the biggest bets are always on the baccarat tables.

About the author

admin

Leave a Comment