News/Habari

NYANDARUA: Kero za Tozo

Wakulima wa maziwa kutoka kaunti ya Nyandarua.
Written by admin

Bei ghali ya stima, utozaji wa juu wa kodi miongoni mwa mambo mengine ndizo changamoto kuu zinazowakumba wawekezaji wa viwanda humu nchini.

Meneja mkuu katika kiwanda cha maziwa cha Olkalou Dairy Kenneth Wachira amesema kuwa changamoto hizo husababisha bidhaa za waekezaji wa humu nchi kuwa ghali ikilinganishwa na bidhaa zitokazo nje mwa nchi Jambo ambalo limeathiri pakubwa soko la maziwa.

About the author

admin

Leave a Comment