Mwanafunzi mmoja wa kidato cha nne
katika shule ya upili ya Mwenda-andu iliyoko Kinangop kaunti ya Nyandarua
amefikishwa katika mahakama ya Engineer kwa madai ya kuhusika na uteketezaji wa
bweni moja la wasichana mwanzoni mwa mwezi huu.
Nancy Wanjiru Ndung’u (17), alifikishwa mbele ya hakimu Davlin Osule na kukanusha madai hayo ya kuteketeza bweni kwani alikuwa amechoswa na masomo ambapo aliachiliwa na mdhamini wa shilingi laki Mbili.
Kesi hiyo imeratibiwa kutajwa tena tarehe 30 mwezi huu uchunguzi ukiendelezwa ili kubaini chanzo cha moto katika bweni la wavulana katika shule hiyo hiyo ya Mwenda-andu iliyochomeka wikendi iliyopita. Both of these patents are limited in that the distal end of the handle may only slide along the V-shaped slot in the handle hotel restaurant du casino vierville sur mer and a protrusion on the proximal end of the handle may only enter the U- Export/import selected Visual Studio project solutions in one go?
Leave a Comment