Polisi kwenye eneo la Loitokitok
wamekamata lita 13,500 za kemikali ya ethanol inayoaminika kuingizwa humu
nchini kimagendo kupitia mpaka wa Kenya-Tanzania.
Kulingana na mkuu wa upelelezi
kwenye eneo hilo David Wanjama Ethanol hiyo yenye dhamani ya ushuru ya takriban
milioni Sh4.15 ililikuwa imefichwa kwa kufunikwa na tikiti maji na mpunga. Real money prizes for the taking. https://nikel.co.id/jeu-casino-gratuit-en-ligne-sans-telechargement/
Kulingana na maafisa wa KRA waliozungumza
na wanahabari na kutaka majina yao kubanwa kwa sababu za kibinafsi Kenya
ingepoteza pesa nyingi iwapo malori hayo hayangekamatwa.
Washukiwa hao wanatarajiwa
kuwasilishwa mahakamani baada ya kukesha korokorini kule Loitoktok.
Leave a Comment