Mbunge wa Bahati Kimani Ngunjiri amewataka wakaazi na viongozi kwenye Bonde la Ufa kuendelea kumuunga mkono naibu wa Rais Dkt William Ruto kwenye uchaguzi wa mwaka wa 2022.Akiongea kwenye hafla moja ya kukagua miradi ya maendeleo katika eneo la Bahati, Kimani amewataka wakaazi kujiepusha na ukabila ili kuendelea kudumisha amani.
“Sisi watu wa Rift valley kama kuna mtu anataka kuongea na sisi basi aongee na William Somoei Ruto ,sisi hatuna mwakilishi mwingine” Mbunge Kimani Ngunjiri amesema
Warukira Mwangi
Leave a Comment