News/Habari

Sicklecell anaemia yavamia watoto zaidi ya 300 Trans nzoia

Watoto 300 waathirika kutokana na sickle cell anaemia Trans nzoia
Written by admin

ongezeko la ugonjwa wa Selemundo au Sicklecell Anaemia limeongezeka katika kaunti ya  Transnzoia ambapo zaidi ya watoto 300 wameathirika, ukosefu wa ufahamu ukichagia ongezeko hilo.

Kwa mujibu wa Dr. Silas Wambulwa ni kuwa hatua ya ugonjwa huo kuwa na dalili sawia na Malaria imepelekea wengi wa wathiriwa kutobaini uwepo wake.

Familia nyingi za wathiriwa zinalalamikia gharama za juu wakati wa kusafiri ng’ambo kupata matibabu wakitaka kuimarishwa kwa tasisi za matibabu eneo hilo.

About the author

admin

Leave a Comment