Wakaazi pamoja na wanabiashara kwenye eneo la Maseno ndani ya eneo bunge la Subukia walifanya maandamano adhuhuri ya leo Alhamisi na kufunga barabara ya Nakuru-Subukia, wakilalamikia hatua ya kuondolewa kwa maafisa wa polisi walio kwenye kituo cha polisi cha Maseno.
Kulingana nao, kituo hicho cha polisi kimesaidia kuboresha usalama ambao wanadai ulikuwa umezorota kabla yao kupelekwa huko na kurejesha hali ya amani na utulivu.
Aidha, wakaazi hao walisema hatua ya kuondoa maafisa hao ni tishio kwa usalama wa eneo hilo. ” Mayhew said the agency was aware of the intelligence it was providing to the FBI and can casino kick you out for winning that they were very concerned that “every phone and every computer that was used was monitored and analyzed and accounted for.
Leave a Comment