Ruzuku ya mafuta na unga wa mahindi huenda ikasitishwa na serikali kutokana na uendelevu wao.
Rais William Ruto amesema ruzuku hizo mbili zimegharimu hazina hiyo zaidi ya shilingi bilioni 80 kufikia sasa.
Bila ruzuku ya mafuta, watumiaji watalipa shilingi mia 214 kwa lita ya petroli na mia 206.17 kwa dizeli.
Msaada huo wa ruzuku ya unga wa mahindi haujafanikiwa na kuifanya serikali kuwa na deni la zaidi ya shilingi bilioni 10 inayodaiwa na wasagaji mahindi kufikia sasa swali ambalo wakenya wanaendelea kujiuliza ni je serikali ya rais mpya william ruto itatatua kitendewali ……?
Leave a Comment