News/Habari

Wakazi Laikipia wataka serikali kuwaangazia katika usambazaji wa mbolea nafuu

Bush and hills of the Masai Laikipia Plateau, Kenya
Written by admin

Wakaazi wa Ol-Moran huko Laikipia wanaiomba serikali kuwapa mbegu na mbolea ili kuwaepusha na hasara iliyopatikana wakati wa uvamizi wa viwavi jeshi hivi majuzi.

Wakulima kutoka eneo hilo wanasema funza waharibifu waliharibu mashamba yao na kuwaacha wakulima na hasara kubwa.

Sasa wanaitaka serikali kuwajumuisha katika orodha ya wakulima waliowekwa kunufaika na mbolea ya ruzuku inayosambazwa….. Mbolea hiyo ya bei nafuu inatarajiwa kuongeza uzalishaji wa chakula nchini….baada ya naibu rais rigathi gachagua kuizindua rasmi

About the author

admin

Leave a Comment