News/Habari

Walemavu Wadai Kusahaulika

Walemavu Nakuru wamesema Serikali ya Kaunti hio imewasahau
Written by admin

Watu wanaoishi na changamoto za
kimaumbile  kwenye kaunti ya Nakuru  wameisuta  serikali ya
kaunti  hiyo kwa kwa kufeli kuwapa  asilimia tano ya ajira  kulingana
na katiba .

Wakiongozwa na  George Otieno
kutoka eneo bunge la Nakuru Mashariki  wanasema  kuna haja ya serikali
ya jimbo kutambua  uwepo wao  ili nao waweze kuwajibikia majukumu yao
kifamilia ilivyo kwa wengine wasio na ulemavu.

Ni kauli inaojiri baada ya  katibu katika muungano wa umoja wa mataifa UN  AntonioGuteres  kuomba kuhusishwa kwa walio na changamoto za kimaumbile  katika juhudi za kuafikia malengo ya 2030. Our Online Casino section offers you a wide range of Casino Games like; Live Roulette, Live Blackjack, Live Casino Games, Casino Games like Keno, Poker Games, Lottery https://casinodulacleamy.com/ Games, Scratch Cards, Slots Games, Video Poker and Bingo Games.

About the author

admin

Leave a Comment