News/Habari

Wananchi waombwa kupanda miti

Wakenya waombwa kupanda miti kuzuia mmomonyoko wa udongo
Written by admin

Mbunge
wa Marakwet Magharibi William Kisang ameitaka idara inayohusika na majanga
kutongoja hadi wakati ambapo majanga yanatokea ili kuchukua hatua za dharura.

Akiongea 
katika eneo la Kapsiliot, Kisang amesema mengi ya majanga yanaweza kuzuiliwa
iwapo tu idara husikia itakabili dalili zake mapema.

Mbunge
huyo aidha amedokeza kuwa maeneo mengi katika kaunti hiyo yako katika hatari ya
kukubwa na maporomoko ya ardhi, akidokeza  kuwa iwapo serikali
haitawajibika haraka, basi atatumia pesa  za mwaka wa kifedha za mwaka wa 2019/2010
kuzuia majanga hayo.

Hata hivyo Kisang ametumia fursa hiyo kuwarai  wenyeji kupanda miti kwa wingi na kuhamia maeneo salama msimu huu wa mvua. Com clickmiamibeach.com officially launched its sports betting platform to online slots players in Australia.

Beatrice Koech

About the author

admin

Leave a Comment