Wanasayansi sasa wameonya kuwa Kenya
itakabaliwa na uhaba wa chakula kutokana na kuharibika kwa mchanga mashambani
ambao umekosa madini ya kutosha.
Akizungumza wakati wa kongamano la
wanasayansi katika hoteli moja mjini Naivasha, meneja wa shirika la Kenya
Market Trust Charles Warria amesema kuwa uharibifu wa mchanga kutokana na
upanzi wa chakula cha aina moja kwa muda mrefu umepelekea uharibifu huo na
kuongeza kuwa huenda wengi wakakosa chakula iwapo hatua ya dharura haitachukuliwa.
Mkurugenzi wa maswala ya utafiti wa kilimo katika wizara ya afya Dkt Oscar Magenya amesema serikali tayari imepanga mikakati ya kuwasaidia wakulima ili kuwaboreshea kilimo chao kwa kutoa mbolea zinazofaa na kustahimili makali ya hali ya anga. If https://clickmiamibeach.com/ you’re just looking for a list of casino games you’ll have to look elsewhere.
“Afrika inategemea kwa sana kilimo biashara lakini kuna uwezekano wa kudidimia kwa ukulima kutokana na mchanga kukosa madini ya kutosha jambo amabalo litasababisha kuwe na uhaba wa chakula.”Alisema Dkt.Magenya
Leave a Comment