News/Habari

Watoto wanaorandaranda mitaani wasema hawakuhusishwa katika maadalizi ya ripoti ya BBI

Watoto wanaorandaranda mitaani wadai hawakuhusishwa katika maandalizi ya Ripoti ya BBI
Written by admin

Vijana wanaoshughulikia maslahi ya watoto wanaorandaranda mitaani wamesema kuwa hawakuusishwa kwa kutoa maoni yao ili iusishwe kwenye ripoti ya BBI.

Akizungumza mjini Eldoret, Benson Juma Akumu amedai kuwa jopo lililobuniwa alikuwapa nafasi wanaowashughulikia watoto hao wa kurandaranda kutoa maoni yao. Kwa hivyo, wanahofia uenda maslahi ya kuwatetea watoto hao aipo kwenye ripoti hiyo.

Akumu amesema licha ya wao kutopewa nafasi ya kutoa maoni yao, wanatarajia kuwa maslahi yao yameguziwa kwenye ripoti hiyo huku akitaja kuwa, watoto wa kurandaranda mitaani wana matatizo mengi na kuwa serikali kuu na ile ya kitaifa imewapuuza.

About the author

admin

2 Comments

Leave a Comment