News/Habari

Watu wawili wauawa katika mauaji tatanishi Kimumu Uasin Gishu

uasin gishu usalama wadorora
Written by admin

Biwi la simanzi limetanda katika kijiji cha Gizani mtaa wa California, Kimumu kaunti ya Uasin Gishu baada ya mwanafunzi aliyekuwa anatarajiwa kuenda Finland kwa masomo zaidi kuuwawa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo.

Kevin sirem mwanafunzi aliyekuwa anatarajia kusafiri kwa masomo zaidi alidungwa kisu shingoni eneo la California naye Samuel nderitu akadungwa visu mara kumi na tatu katika mtaa wa macharia katika kaunti iyo hiyo ya uasin gishu

About the author

admin

Leave a Comment