Vijana wa makamu kutoka kijiji la Kalpunyany kaunti Baringo wamejitokeza wasi kupigana na ya ukeketaji dhidi ya waschana na akina mama eneo hilo.
Aidha wamedai wakati umefika wa kutupilia mbali tamanduni hii iliyopitwa na wakati, hili limeonekana kinaya kwani wamorani hawa ndio wamekuwa mstari wakwanza kukabiliana na wanaopinga dhulma hiyo dhidi ya motto wa kike.
Leave a Comment