Politics/Siasa

LEE KINYANJUI: HAKUNA MBADALA YANGU NI YA TINGA!!!

Gavana wa kaunti ya Nakuru Lee Kinyanjui. Serikali ya kaunti hii inatoa sodo za bure kwa maelfu ya wanafunzi wa kike.
Written by admin

Gavana wa Nakuru Lee Kinyanjui alisema atampigia kura kinara wa ODM Raila Odinga katika uchaguzi mkuu wa 2022.

Akizungumza mjini Molo, Kinyanjui alimlimbikizia Odinga sifa chungu nzima na kuahidi kumuunga mkono kiongozi huyo kwenye uchaguzi ujao.

Gavana huyo, mwenzake wa Kirinyaga Anne Waiguru na yule wa Kiambu James Nyoro walifanya mkutano na Raila mwezi Agosti mwaka huu mjini Nakuru na kuahidi kumuunga mkono kinara huyo wa chama cha ODM katika uchaguzi wa 2022.

About the author

admin

Leave a Comment