Politics/Siasa

NYANDARUA: UDA YATETEREZWA!!!

Written by admin

Wawaniaji wa nyadhifa mbalimbali za uongozi kwa tiketi ya chama cha UDA katika kaunti ya Nyandarua wamelalamikia hatua ya kusambaratishwa  kwa mikutano yao ya kisiasa.

Haya yanajiri baada ya wanachama hao wa UDA kufurushwa na kikindi Cha vijana mjini Olkalou walipokuwa na msafara wa kuwahamasisha wakazi wa kaunti hiyo ya Nyandarua kujitokeza kujiandikisha kama wapiga kura.

About the author

admin

Leave a Comment