repliche orologi replica uhren

Dieses Sicherheitssystem ist notwendig, um zu verhindern, dass der rolex replica Taucher vom Messgerät getäuscht wird und länger eingetaucht bleibt, als ihm seine Sauerstoffflasche eigentlich erlaubt.

Sports/Michezo

Manchester City Yakabwa Koo na Newcastle United

The Citizens wakabwa koo
Written by admin

Mabingwa watetezi Manchester City waliambulia sare ya 3-3 nyumbani kwa Newcastle United katika mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza almaarufu EPL mnamo Jumapili, Agosti 21.

The Citizens walizamika kutoka nyuma kwa mabao mawili ili kuandikisha sare hiyo baada ya kujikuta wakiwa nyuma 3-1 katika kipindi cha pili.

City walikuwa wameshinda mechi 27 kati ya 28 ambazo walikuwa wametikisa wavu wa kwanza, mara hii walikijuta nyuma 3-1 katika dakika ya 54 baada ya Ilkay Gundogan kuwapa uongozi katika dakika ya tano.

Kasi ya Allan Saint-Maximin yawatatiza Manchester City Allan Saint-Maximin aliandaa mabao yote ya Newcastle, City wakitatizika kukabiliana na kasi ya winga huyo.

Kwanza alimwandalia krosi Miguel Almiron (dakika ya 28) ambaye alisawazisha kwa goli la kichwa ambalo lilikataliwa kwa misingi ya kuotea lakini likakubaliwa baada ya ukaguzi wa refa msaidizi wa video (VAR).

Katika dakika ya 39 alimpakulia pasi Callum Wilson, aliyemzidi beki Ruben Dias kabla ya kuachilia fataki lililomzidi kipa Ederson na kuwapa Newcastle uongozi wa 2-1.

Katika kipindi cha pili (dakika ya 54), beki Kieran Trippier alichonga mpira wa hekabu hadi kwenye neti za City na kufanya mambo kuwa 3-1 baada ya Saint-Maximin kumegwa na John Stones.

Man City yaimarisha mashambulizi ya kujiokoa Vijana wa Pep Guardiola hata hivyo hawakufa moyo, wakiimarisha mashambulizi wakilenga sare au hata ushindi iwapo nyota ingewaangazia.

Sajili mpya Erling Braut Haaland aliipa City goli la pili baada ya kuandaliwa na kiungo Rodri huku Bernado Silva akifanya mambo kuwa 3-3 dakika nne baadaye kufuatia pasi ya kiungo matata Kevin De Bruyne.

Hii ndio mara ya kwanza Man City kudondosha alama msimu huu, baada ya kufungua kampeni kwa kushinda mechi za kwanza mbili.

Mechi hii imejiri saa chache tu baada ya Leeds United kuitandika Chelsea 3-0 ugani Elland Road.

About the author

admin

Leave a Comment

nude pics of weman wrestler with a boner xxnx.vip latina on black porn videos pornos en familia, mom a d son porn how to download from pornhub xxxpor.win axel kane gay porn my hero academia porn comic, my hero academia porn kimberly delgado only fans wifeporn.win backroom casting couch jena sausage party sex scene