repliche orologi replica uhren

Dieses Sicherheitssystem ist notwendig, um zu verhindern, dass der rolex replica Taucher vom Messgerät getäuscht wird und länger eingetaucht bleibt, als ihm seine Sauerstoffflasche eigentlich erlaubt.

Sports/Michezo

Mchezaji wa Arsenal alazwa hospitalini baada kudungwa kisu na mwendawazimu

Written by admin

Klabu ya soka ya Arsenal imemtakia afueni ya haraka beki wake Pablo Mari baada ya kushambuliwa jana Alhamisi jioni.

Mari ambaye yuko kwa mkopo katika klabu ya Italia, A.C Monza alikuwa miongoni mwa watu sita ambao walishambuliwa kwa kisu na mwendawazimu mmoja kwenye jumba la maduka katika jiji la Milan jana jioni.

Ripoti kutoka Italia na klabu ya Arsenal zinadokeza kuwa mwanasoka huyo wa Uhispania kwa sasa anaendelea kupata nafuu hospitalini. Mari hata hivyo yuko nje ya hatari kwani alipata majeraha madogo tu.

Shambulizi hilo lilijiri jioni ambapo Wanabunduki walipata kichapo cha aibu dhidi ya P.S.V  ya Uholanzi katika mechi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Europa. P.S.V ilipiga Arsenal 2-0 katika mechi ya mkondo wa pili.

Arsenal hata hivyo bado wanapewa nafasi kubwa ya kumaliza kileleni mwa kundi A kwani bado wanaongoza wakiwa na alama kumi na mbili. P.S.V inashika nafasi ya pili ikiwa imejizolea pointi 10 kufikia sasa, Bodo/Glimt ni ya tatu ikiwa na pointi nne huku FC Zurich ikishika mkia kwa pointi tatu pekee.

About the author

admin

Leave a Comment

nude pics of weman wrestler with a boner xxnx.vip latina on black porn videos pornos en familia, mom a d son porn how to download from pornhub xxxpor.win axel kane gay porn my hero academia porn comic, my hero academia porn kimberly delgado only fans wifeporn.win backroom casting couch jena sausage party sex scene