Klabu ya Chelsea wapo kimkakati kumrejesha stamford bridge aliyekuwa mchezaji wao raia wa Ubelgiji Eden Hazard (34).
Hii ni baada yao kufanya mazungumzo rasmi na Real Madrid juu ya kumsajili tena mchezaji huyo japo kwa mujibu wa El Nacional – in Catalan klabu hiyo ya Uhispania inamtaka mchezaji wa Chelsea, Reece James (21), kuwa sehemu ya makubaliano yatakayoafikiwa.
Leave a Comment