Wakenya wametumia mtandao wa kijamii wa Twitter kuelezea kutoridhishwa kwao na uteuzi wa mkufunzi mpya wa timu ya taifa ya soka Harambe stars Mturuki Engin Farat.
Shirikisho la Soka la nchini Kenya (FKF) lilitangaza uteuzi wake Siku ya Jumapili kwa kandarasi ya miezi miwili.
Baadhi ya wakenya wamekuwa wakihoji jinsi Mkuu wa FKF Nick Mwendwa alivyoafikia uteuzi huo.
Leave a Comment