Real Madrid wanamuangalia kwa karibu kiungo wa kati na mshambuliaji wa Manchester United na Ufaransa Paul Pogba (28) pamoja na kiungo mkabaji wa Chelsea na Ujerumani Antonio Rudiger (28) kama nguzo mpya hitajika ugani Santiago.
Waaidha watani wao wa jadi, FC Barcelona, wametia nia katika kumchukua kiungo wa kati wa Manchester United na Uholanzi Donny van de Beek (24) japo kwa mkopo.
Leave a Comment