Mratibu wa maswala ya watu wanaoishi na ulemavu katika kaunti ya Baringo Paul Chepkeitany anataka wazazi kuhakikisha kwamba watoto wote walio na ulemavu wanasajiliwa kikamilifu,ili waweze kupokea haki zao za kimsingi kama vile masomo. Akihutubia hafla moja ya hadhara mjini Marigat siku ya jumatatu,Chepkeitany alisema watu walio na ulemavu wana mchango mkubwa katika ustawi wa […]
Polisi waanzisha uchunguzi kuhusiana na mauaji ya afisa mmoja wa DCI aliyepigwa risasi kwenye mtaa wa Kayole,Nairobi.
Polisi siku ya alhamisi walianzisha uchunguzi kuhusiana na mauaji ya afisa mmoja wa polisi aliyepigwa risasi kwenye mtaa wa Kayole jiji Nairobi. Afisa huyo kwa jina David Maya wa kitengo cha DCI,alikuwa na mkewe wakati wa mauaji hayo na Kulingana na mkuu wa polisi wa Nairobi Adamson Bungei, wawili hao walikuwa wameegesha gari lao kwenye […]
AUD JPY Австралийский доллар Японская иена TradingView
Содержание Онлайн-график динамики курса Австралийского доллара (AUD) к Японской иене (JPY) Карта валют График AUD JPY | Курс пары Австралийский доллар vs Японская иена Курс доллара к рублю Искать на сайте Это означает, что вы можете получить меньше, чем первоначально вложили. Прошлые показатели не являются гарантией результатов в будущем. Вы легко можете установить стопы и […]