Mwanaume mmoja amekamatwa baada ya kulisogelea jeneza la Malkia Elizabeth II kutoka kwenye msururu wa waombolezaji katika Westminster Hall. Alikamatwa chini ya sheria ya utulivu wa umma na kupelekwa katika mahabusu...