Hatma ya mzozo wa mpaka wa baharini kati ya Kenya na Somalia itajulikana leo, mahakama ya kimataifa ya haki ICJ iliyoko mjini Hague itakapotoa uamuzi wake saa tisa alasiri.
Uamuzi huo utatolewa na rais wa mahakama hiyo Joan E. I http://vozhispananews.com/mardi-gras-hotel-casino-las-vegas-tripadvisor/ not only enjoy visiting this website for information that’s regularly added which includes news and other features but because they offer what appears to be objective reviews of what I know for sure are the top rated brands in the UK. Donoghue wakati wa kikao cha umma kitakachoandaliwa katika ukumbi wa Peace Palace. We then put them https://kellyrobbins.net/san-manuel-indian-casino-highland-california/ on our site in a list and display both the positive and negative points on each review along with important information you’ll need to know.
Uamuzi huo vile vile utapeperushwa
moja kwa moja katika tovuti ya mahakama ya ICJ na kwenye runinga ya wavuti wa
umoja wa mataifa.
Serikali wiki iliyopita ilisema
kwamba haitatambua uamuzi huo unaotarajiwa kutolewa leo.
Katibu katika wizara ya mashauri ya
kigeni balozi Macharia Kamau alisema kwamba serikali haitatambua uamuzi huo na
kwamba haitazingatia matokeo yake kwani mahakama hiyo haina mamlaka ya kuamua
mzozo huo.
Serikali iliamua kutoshiriki vikao
hivyo mwezi Machi kutokana na kile ilichokitaja kuwa upendeleo na mahakama hiyo
kutokuwa na nia ya kusikiza maombi ya kuahirisha vikao hivyo kutokana na janga.
Somalia imedai kwamba mpaka wa
kusini unapaswa kuelekea kusini-mashariki kama upanuzi wa ardhi hadi Bahari ya
Hindi huku Kenya ikisisitiza kwamba mpaka wa Somalia unapaswa kugeuka takriban
digrii 45 ukingoni mwa bahari hiyo na kufuata mkondo wa latitude.
Leave a Comment