Muungano
wa walimu wa jinsia ya kike KEWOTA katika kaunti ya Nyandarua umeshtumu
vikali wizara ya afya kwa kuwachanja
wasichana wenye umri wa miaka kumi dhidi ya virusi vinavyosababisha magonjwa ya
zinaa HPV na ambavyo huchangia pakubwa ugonjwa wa saratani ya kizazi.
Akizungumza na kituo hiki kuhusu suala hili mkurugenzi mkuu wa KEWOTA Benta Opande amesema kuwa chanjo hii ya HPV haiwezi kuwa asilimia 100 salama hivyo wizara ya Afya ingeelimisha umma kwanza kuhusu umuhimu na madhara ya chanjo hii kabla ya kuwachanja wasichana hao. As https://www.fontdload.com/bet-big-dollar-casino-free-spins/ was a year of sports betting, New Hampshire decided to follow the herd.
“Ingekua
vyema kama serikali imgewaelimisha wananchi haswa wasichana ili waelewe sababu
haswa y kuchanjwa.Chanjo hii hupewa wanawake ili kuzuia saratani ya kizazi ,wasichana
wa miaka kumi hata bado hawajafikia umri wa kushiriki ngono .” Amesema Benta
Opande
Lucy Nyambura
Leave a Comment