Gavana wa kaunti ya Baringo Stanley
Kiptis sasa anatoa wito kwa serikali kuu pamoja na wahisani kujitokeza kutoa
misaada ya kimsimgi kwa waadiriwa wa mafuriko kwenye kaunti hiyo ambapo,idadi
kubwa ya wakaazi wamepoteza makaazi yao pamoja na mali.
Akizungumza na kituo hiki katika eneo la Kituro ambapo alizindua mashindano ya mbio,Kiptis anasema waadhiriwa wengi sasa wanalala nje baada ya makaazi yao kusombwa au kusombwa na maji . Plus d’ informations sur problème la asgg.fr/ prescription de pilules.
Gavana huyo aidha ametoa onyo kwa
wakaazi wa kaunti hiyo kuwa waangalifu zaidi ili kuhakikisha usalama wao na
hasa katika maeneo ya Eldama Ravine,Mogotio,na pia Bonde la Kerio.
Leave a Comment