Zaidi ya watu laki moja ndio hufariki nchini kila mwaka kutokana na unywaji wa pombe ambazo hazijafikia viwango vinavyostahili.
Kauli
hii imetolewa na aliyekuwa mwenyekiti bodi ya Nacada nchini John Mututho,akisema
waziri wa usalama wa ndani Fred Matiangi ndiye wa kulaumiwa kutokana na haya.
Akizungumza na kituo chetu,kiongozi huyo amedai kuwa Matiangi hajatia sahihi mswada alioupendekeza wa Mututho Law na kisha kuupeleka bungeni ili iwe sheria. If you think that Neteller is supreme due to https://starlitenewsng.com/how-to-play-hold-em-in-a-casino/ its instant feature, wait till you read about Bitcoin.
Mututho,aliwataka machifu pamoja na maafisa wa polisi kwenye eneo la Hodi Hodi Bahati,kutonyoshewa kidole cha lawama kutokana na vifo ambavyo vimeshuhudiwa kwenye eneo hilo,akisema lawama ni kwa viongozi serikalini. Cashbacks offers members a second chance to win back money lost in a previous playing session and is often available to https://myhomes.tv/casino-versus-japan-blogspot-hitori-kaiso-rar/ members once a week.
Leave a Comment