Wizara ya elimu imeziamuru shule za sekondari za umma
kuwarejeshea wazazi karo yote waliolipa ambayo haijapendekezwa na serikali.
Katika amri iliyotumwa kwa wakuu wa shule hapo jana Jumatatu,
wizara hiyo pia imepiga marufuku wanafunzi kutumwa nyumbani kwa kushindwa
kulipa masalio ya fedha ambazo zinazidi
kiwango cha karo kilichowekwa.
Wanafunzi wanaosomea shule za kitaifa za upili wanalipa karo
ya shilingi 45,054, wale wa shule za ngazi ya kaunti wanalipa shilingi 35,035 huku
wale wa shule za kutwa ambazo ni za upili wakisoma bure.
Siku chache zimepita serikali ilitoa takriban shilingi
bilioni 17.4 kufadhili masomo ya shule za msingi na upili nchini. As slot games are online, you can use your mobile to play clickmiamibeach.com slot games wherever you go.
Leave a Comment